Ni matumaini yetu kwamba itasaidia kufuatilia kwa haraka mifumo ya ufadhili wa mabadiliko ya hali ya hewa na kuongeza kasi ya miradi inayoendelea ya kukabiliana na hali ya hewa.
¡®Sayari yetu imo taabani, na sisi, vijana, ndio tutakaoteseka iwapo hatua hazitachukuliwa kuinusuru¡¯ ¨C Yoanna Milad, mwenye umri wa miaka 21, kutoka Misri
Ni juhudi inayoongozwa na Afrika inayolenga kuwezesha uwezo wa uchumi wa baharini na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi katika Kanda ya Bahari Hindi Magharibi