Kabla ya Mkutano wa Mifumo ya Chakula wa 2021 wa UN mnamo Septemba hii, Mabingwa wa Mifumo ya Chakula wanakusanya jamii za ulimwengu na kukuza mazungumzo kwa suluhisho za ubunifu, vitendo na endelevu.
Phelisa Frida Miya nwenye umri wa miaka 28, ni mwanajeshi wa kikosi cha anga/mwanamke wa kufyatua bunduki kutoka Afrika Kusini anayehudumu katika Ujumbe wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO).