51³Ô¹Ï

AfCFTA: Sekta ya uchukuzi barani Afrika kunufaika kutokana na biashara huru

Biashara kupitia barabara, reli, ndege na huduma za usafiri wa meli kuongezeka kwa 50%
Mkutano wa Mawaziri wa Fedha wa Afrika, Mipango na Maendeleo ya Uchumi 22 Machi 2021.

Kurejea kwa hali ya kawaida barani Afrika baada ya COVID-19: ni mbio za masafa mafupi au marefu?

Orodha ya jitihada ambazo nchi zitalazimika kufanya ili kukabiliana na athari ya janga hili ni ndefu mno.
Kuna wazalishaji chini ya 10 wa Kiafrika walio na uzalishaji wa chanjo na wako katika nchi tano: ...

Kwa utayari wa kisiasa na uwekezaji, bara la Afrika linaweza kujizatiti kupata chanjo yake ya COVID-19

Afrika inawakilisha asilimia 26 ya idadi ya watu wote duniani lakini ina chini ya asilimia 0.1 ya uzalishaji wa chanjo duniani
Sylvia Wairimu Maina, a PhD scholar at Sokoine University, Tanzania, conducting research

Kitu gani kipo kwenye kabeji la Afrika? Mengi

Sylvia Wairimu Maina (kutoka Kenya), anazungumza kuhusu utafiti wake wa shadada ya uzamivu (PHD) kuhusu lishe na faida za kiafya za kabeji la Afrika
Husband and wife prepare enset at their home in Doyogena District, Ethiopia

Kubaini uwezo halisi wa ndizi ¡®bandia¡¯

Selamawit Araya Kidane (from Ethiopia) talks about her research on the nutritional benefits of the Enset plant.