51³Ô¹Ï

AfricaUpya: Desemba 2022

Mabadiliko ya Tabianchi

Youth activists protest demanding leaders to address their loss and damage responsibility.

COP27: Masuala makuu kwa Afrika

Tusipuuze umuhimu wa ufadhili kama kichochezi cha mabadiliko kwa hasara na uharibifu
Fazal Issa Climate and Environment Programme Manager at the Embassy of Ireland, Tanzania

Matokeo ya COP27: Tathmini kuhusu hatua zilizofikiwa, fursa zilizopitwa

Hazina ya kusaidia hasara na uharibifu imekaribishwa, haja ya kushughulikia ukabilifu na utekelezaji wa hazina ya kusaidia walio katika hatari zaidi

Kutana na ¡°mrejesha-ndege¡± wa Afrika anayerejesha pori katika visiwa vya Bahari Hindi

Dkt. Nirmal Shah, mhifadhi bingwa kutoka Ushelisheli, anasaidia kuwaokoa ndege adimu