Stories
Mamilioni yaahidiwa katika hafla ya kuongeza kasi ya Afrika kukabiliana na tabianchi
By Kingsley IghoborUingereza iliahidi dola milioni 230, Uholanzi dola milioni 110, AfDB dola bilioni 12.5, Ujerumani kuongeza mchango hadi dola bilioni 6 ifikapo 2025
Vijana wa Afrika katika COP27 wanasema wanataka hatua zichukuliwe, sio maneno tu
By Kingsley Ighobor¡®Sayari yetu imo taabani, na sisi, vijana, ndio tutakaoteseka iwapo hatua hazitachukuliwa kuinusuru¡¯ ¨C Yoanna Milad, mwenye umri wa miaka 21, kutoka Misri
Bloomberg, SEforAll announce plan to accelerate energy transition in developing countries
By Kingsley IghoborMichael Bloomberg and Damilola Ogunbiyi to expand partnership to mobilize financing for clean energy projects
Kwa nini COP27 ni muhimu kwa Sierra Leone
By Babatunde AhonsiNi matumaini yetu kwamba itasaidia kufuatilia kwa haraka mifumo ya ufadhili wa mabadiliko ya hali ya hewa na kuongeza kasi ya miradi inayoendelea ya kukabiliana na hali ya hewa.
Afrika na Ulaya: Ni Wakati wa Kuchua Hatua
By Vera SongweTusipoteze fursa hii ya kurudisha upya uhusiano na uchumi wetu
Kusherehekea podkasti na masimulizi ya hadithi za Kiafrika
By Sarah KimaniPodkasti ya Afrika Upya imezinduliwa ili kuangazia masuala muhimu barani
Maendeleo ya kituo cha mRNA cha Afrika Kusini ni msingi wa kujitegemea
By WHOKitahakikisha Afrika ina uwezo wa kuzalisha ambao ni muhimu kwa utoaji wa chanjo wenye usawa
AfCFTA: Sekta ya uchukuzi barani Afrika kunufaika kutokana na biashara huru
By Economic Commission for AfricaBiashara kupitia barabara, reli, ndege na huduma za usafiri wa meli kuongezeka kwa 50%
Muongo wa Kuchukua Hatua: Kutatua mapungufu ya maendeleo Afrika
By Fredrick MugishaMabadiliko katika itikadi, kujiendeleza baada ya Uviko-19 na kutumia ajenda ya malengo ya maendeleo endelevu (SDG) kunaweza kusaidia