Stories
Vipaumbele vya kimkakati vya Afrika ili kurejesha hali yake
By Cristina Duarte¡ª Simulizi mpya ya maendeleo inahitajika kuwasilisha Bara la Afrika kama mdau muhimu na lililo na mafanikio na mazoea bora ya kushiriki
Zana za kidijitali zinaweza kusaidia Afrika kukabili ukosefu wa usalama wa chakula
By Kingsley Ighobor and Damilola AdewumiMazungumzo na mwanateknolojia wa kidijitali kutoka Uganda, Timothy Laku.
Nishati itakuwa sehemu muhimu sana katika kufanikisha eneo huru la biashara Afrika
By Kingsley Ighobor¡ªDamilola Ogunbiyi, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Nishati Endelevu kwa Wote
COP26 kuhusu hali ya hewa: Vipaumbele vya Bara Afrika
By Tanguy Gahouma-Bekale¡ª Bara linataka ushirikiano bora kuhusu mabadiliko na ufadhili.
Jinsi uchukuzi wa malori kutumia mtindo wa Uber unavyobadilisha kabisa biashara barani Afrika
By Franck KuwonuMalori yaliyosajiliwa na madereva wameunganishwa mtandaoni, na kusawazishwa na mahitaji ya uchukuzi wa mizigo
Wadau wa Usafiri wa Ndege Wawazia Gharama za juu za Usafiri wa Ndege Barani Afrika
By Stephen NdegwaSekta ya anga ya Afrika inatafuta njia za kupona baada ya hasara zaidi ya dola bilioni 6 kwa sababu ya kuena kote.
Kuridhiwa kwa sarafu ya Kidijitali barani Afrika: Changamoto na manufaa
By Eugene YigaChangamoto ni pamoja na ukosefu wa intaneti ya kuaminika na ukosefu wa maarifa ya kifedha
Kulisha Afrika kutoka Afrika: Wakulima wadogo kupigwa jeki na AfCFTA
By Busani BafanaAthari ya COVID-19 imefichua udhaifu wa mifumo ya sasa ya chakula, lakini pia imefunua fursa kwa Afrika kufanya biashara na Afrika chini ya AfCFTA
Ukosefu wake walemaza utoaji wa chanjo ya COVID-19 barani Afrika
By Kingsley IghoborChanjo milioni 38 pekee ndizo zimepokelewa katika bara la watu wapatao bilioni 1.2
Bingwa wa Mifumo ya Chakula Lucy Muchoki, Kenya
By Franck KuwonuMkurugenzi Mtendaji, Pan-African Agribusiness and Agroindustry Consortium (PanAAC) imeandaa mazungumzo kwa Afrika Kusini katika eneo la SMEs.