Stories
Wanamapinduzi waliorejea: Kutimiza ndoto, kupata uhuru
By Sonya BeardWamarekani Waafrika wana historia ndefu ya kurejea nyumbani
Kukabiliana na urithi wa utumwa kwa kulipa fidia
By Kingsley IghoborBi. Epsy Alejandra Campbell Barr, Mwenyekiti wa Jukwaa la Kudumu la Watu wa Asili ya Kiafrika, anawahimiza wazawa wa Kiafrika na Waafrika kushirikiana katika kushughulikia changamoto zinazofanana.
Kuisaka mizizi ya familia zaidi ya DNA
By Sonya BeardWataalam watatu wa unasaba wanavifafanua vikwazo na mafanikio katika kutafiti ukoo wa Wamarekani Waafrika
Rais wa Bunge la Afrika atoa wito wa amani na umoja
By Mkhululi ChimoioTunataka Bunge la Afrika liwe Bunge la Wananchi
Jamii zinazostawi zinahitaji mshikamano wa kijamii, haki na ujumuishwaji
By Zipporah MusauBarani Afrika, Huduma za Misaada za Kikatoliki zinasaidia jamii ¡®kushughulikia kile kinachozigawanya ili ziweze kupata kile kinachoziunganisha¡¯ na kwa pamoja kufanyia kazi mabadiliko ya kimageuzi.
2024: Mwaka wa matumaini ya tahadhari kwa chumi za Afrika zinazokabiliwa na changamoto duniani kote
By Franck KuwonuUkuaji wa uchumi wa bara hilo unatarajiwa kufikia hadi asilimia 3.5
Biashara ya ndani ya Afrika inatoa fursa kwa ukuaji wa uchumi jumuishi na uendelevu
By Janet EdemeUsalama wa umiliki wa ardhi wa wanawake ni muhimu kwa uwezeshaji wao katika ngazi ndogo kama wazalishaji wa kilimo katika kaya na katika ngazi ya jumla kwa ajili ya kufungua manufaa ya kimageuzi, kijamii na kiuchumi.
Kujumuishwa kwa Wanawake na Haki za Ardhi kama njia ya kuharakisha AfCFTA
By Annita TipildaHatua za pamoja katika mfumo wa vikundi vya wanawake zimewanufaisha sana wanawake katika mazungumzo ya kupata ardhi
Kupambana na unyanyasaji wa kijinsia na ndoa za mapema
By Jocelyne Sambira¡ª Majadiliano na Mke wa Rais wa Sierra Leone, Fatima Maada Bio