Stories
Mwaka mmoja baadaye: Athari za mzozo baina ya Urusi na Ukrainia kwa Afrika
By Bitsat Yohannes-KassahunKushughulikia deni huku tukiimarisha kilimo, upatikanaji wa nishati na biashara barani kunaweza kupunguza mzigo kwa chumi zinazokaribia kuanguka
AfCFTA: Ndoto za kijana mfanyabiashara zatimia
By Kingsley IghoborMjasiriamali Mkenya wa miaka thelathini, Linda Chepkwony anataka kuwahamasiha vijana wa Kiafrika kusaidia kukuza viwanda barani kupitia mkataba wa biashara huria
Hoteli inayoelea ya Crabshack inastawi juu ya miti ya mikoko
By Newton KanhemaWakati wa msimu wa wageni wengi hoteli hii hupata wateja 1,000 kwa siku na mapato ya kila mwezi hufika dola 30,000 na kuajiri wafanyakazi 42.
Jinsi wanakijiji wa pwani ya Kenya wanavyoingiza pesa kutokana na malipo ya kaboni
By Newton KanhemaMradi wa mikoko wa Mikoko Pamoja unatarajia kuzalisha mapato ya kila mwaka ya takriban $130,000
Biashara huria ya Afrika inaendelea, juhudi zaidi zinahitajika
By Douglas OkwatchMwaka mzuri watarajiwa AfCFTA inapoadhimisha Miaka 2
Wanahabari wa Kiafrika: Mafundisho zaidi na raslimali zitapiga jeki utoaji habari kuhusu mabadiliko ya tabianchi
By Kingsley IghoborTaarifa kuhusu mazingira ni ghali; zinahitaji kusafiri kwingi na kujasirisha
Kutana na ¡°mrejesha-ndege¡± wa Afrika anayerejesha pori katika visiwa vya Bahari Hindi
By Africa RenewalDkt. Nirmal Shah, mhifadhi bingwa kutoka Ushelisheli, anasaidia kuwaokoa ndege adimu
Matokeo ya COP27: Tathmini kuhusu hatua zilizofikiwa, fursa zilizopitwa
By Fazal IssaHazina ya kusaidia hasara na uharibifu imekaribishwa, haja ya kushughulikia ukabilifu na utekelezaji wa hazina ya kusaidia walio katika hatari zaidi
COP27: Masuala makuu kwa Afrika
By Kingsley IghoborTusipuuze umuhimu wa ufadhili kama kichochezi cha mabadiliko kwa hasara na uharibifu