Stories
Ikiwa ni pamoja na mshikamano wa ulimwengu, Msumbiji waweza kushinda majanga
By Winnie ByanyimaKuzishinda changamoto za kiafya, kibinadamu, tabianchi na kiuchumi
Wanawake Weusi wapiga picha wafana katika mtandao mpya wa ¡°wasanii¡±
By Franck KuwonuMpiga picha mwenye asili ya Kenya na mzaliwa wa Kenya azindua jukwaa la ulimwengu kutangaza talanta zao.
Misusuru ya majadiliano ya Africa Dialogue Series: Kutumia utamaduni kukuza maendelo
By Office of the Special Adviser on AfricaUtamaduni tajiri wa Afrika unastahili kwenda zaidi ya mapambo ya kisanii, muziki au densi na kuonyesha mfumo thabiti wa maadili unaoyakumbatia mabadiliko, kukuza ubunifu na kuchangia kwa ulimwengu.
Kilimo kitasaidia au kuzamisha biashara huru ya Afrika
By Abebe Haile-GabrielMageuzi katika mifumo ya kilimo na chakula yanaweza kufungulia uwezo wa Afrika
Rwanda katika Umoja wa Mataifa (UN): Usawa wa chanjo, ujumuishwaji, amani, na usawa wa kijinsia yaongoza masuala tunayoyapa kipaumbele
By Zipporah Musau¡ª Balozi Valentine Rugwabiza, Mjumbe wa Kudumu wa Rwanda katika Umoja wa Mataifa.
Kwa utayari wa kisiasa na uwekezaji, bara la Afrika linaweza kujizatiti kupata chanjo yake ya COVID-19
By Economic Commission for AfricaAfrika inawakilisha asilimia 26 ya idadi ya watu wote duniani lakini ina chini ya asilimia 0.1 ya uzalishaji wa chanjo duniani
Kitu gani kipo kwenye kabeji la Afrika? Mengi
By Economic Commission for AfricaSylvia Wairimu Maina (kutoka Kenya), anazungumza kuhusu utafiti wake wa shadada ya uzamivu (PHD) kuhusu lishe na faida za kiafya za kabeji la Afrika
Kurejea kwa hali ya kawaida barani Afrika baada ya COVID-19: ni mbio za masafa mafupi au marefu?
By Economic Commission for AfricaOrodha ya jitihada ambazo nchi zitalazimika kufanya ili kukabiliana na athari ya janga hili ni ndefu mno.