Stories
Kutana na Mabingwa wa Chakula Barani Afrika
By Franck KuwonuKabla ya Mkutano wa Mifumo ya Chakula wa 2021 wa UN mnamo Septemba hii, Mabingwa wa Mifumo ya Chakula wanakusanya jamii za ulimwengu na kukuza mazungumzo kwa suluhisho za ubunifu, vitendo na endelevu.
Bingwa wa Mifumo ya Chakula Mike Khunga, Malawi
By Franck KuwonuMuungano wa Asasi za Kiraia za Lishe (CSONA), Malawi
Bingwa wa Mifumo ya Chakula Divine Ntiokam, Kamerun
By Franck KuwonuMwasisi na Mkurugenzi Mtendaji, Muungano wa Vijana wa Kilimo Bora kwa Hali ya Hewa (CSAYN), Kamerun
Wakulima wa Afrika wanaweza Kufaidika kutokana na Sera bora za Kilimo za Umoja wa Ulaya
By Hans WetzelsAfCFTA inaweza kuongeza juhudi za wakulima wa Kiafrika kushindana na EU
Napenda kazi yangu kama mwanajeshi wa kikosi cha anga¡¯ Phelisa Frida Miya, kutoka Afrika Kusini'
By Franck KuwonuPhelisa Frida Miya nwenye umri wa miaka 28, ni mwanajeshi wa kikosi cha anga/mwanamke wa kufyatua bunduki kutoka Afrika Kusini anayehudumu katika Ujumbe wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO).
'Napenda kuufahamisha umma¡¯
By Cristina Silveiro- Merveille-Noella Mada-Yayoro, 29, mwandishi wa habari na mtayarishaji wa Guira FM huko CAR.
'Jumuisha maafisa vijana kwenye jumbe za kulinda usalama'
By Franck Kuwonu¡ª Kossi Gavon mwenye umri wa miaka 24, ni Luteni kutoka Togo anayehudumu katika Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kulinda Amani nchini Mali. (MINUSMA)
AfCFTA yaweza kuinua mamilioni ya wanawake katika uchimbaji wa kiwango kidogo wa madini
By Nellie MutemeriBiashara Huru ya bara Afrika inaweza kubuni mikondo ya maadili na ujuzi kwa manufaa ya wanawake wengi wa Afrika walio katika uchimbaji madini
Kupodikasti kwapata umaarufu Afrika
By Josephine KarianjahiNamna jukwaa la Afrika linavyozileta pamoja sauti katika chombo cha kijamii chenye msisimuo